MBAGALA-Diamond
MBAGALA-Diamond 无损flac下载 mp3下载
MBAGALA-Diamond 在线试听 歌词免费下载
[ti:MBAGALA]
[ar:Diamond]
[al:DIAMOND PLATNUM\'Z]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]MBAGALA - Diamond
[00:02.37]Written by:Unknown
[00:04.74]Mmmhhhh
[00:06.67]
[00:07.86]Mhhh
[00:09.07]
[00:09.83]Busara na upole upole
[00:12.26]Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama
[00:14.17]Yangu mama
[00:15.35]Vyote hukuvijali hukuvijali
[00:17.45]Huk'ona silingani kabisa kuwa na wewe
[00:20.49]Kwa kuti na mkole kole
[00:22.82]Ukakata kabisa na
[00:23.86]Shina la penzi langu mama
[00:26.02]Eti kisa maali maali
[00:27.93]Ukaona bora uniache
[00:29.27]Mimi na uolewe
[00:31.53]Ile siku shekhe namuona anachoma
[00:33.52]Ubani
[00:34.29]Unavishwa pete unakua mke wa fulani
[00:36.81]N'liumia sanaa sanaa
[00:39.19]
[00:39.75]Sanaa
[00:42.05]Ile siku shekhe namuona anachoma
[00:44.02]Ubani aha
[00:45.03]Unavishwa pete unakua mke wa fulani
[00:47.59]Niliumia sanaa
[00:49.56]Niliumia sanaa sanaa
[00:52.45]Tatizo kwetu mbagala
[00:55.07]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[00:57.77]Tatizo kwetu mbagala uk'ona mapenzi
[01:01.91]Siwezi
[01:03.24]Tatizo kwetu mbagala
[01:05.72]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[01:08.35]Tatizo kwetu mbagala
[01:11.10]Uk'ona mapenzi
[01:12.56]Siwezi
[01:14.03]
[01:21.74]Ahhh
[01:24.40]Ungejua jinsi gani
[01:26.23]
[01:26.94]Machozi n'livyolia kwa uchungu wa
[01:28.64]Penzi langu na
[01:30.01]Mwenzio jinsi gani
[01:32.08]Vile nimeumia moyoni
[01:34.92]Hata kupendwa sitamani sitamani
[01:37.46]Utamu wa mapenzi mwenzako umekula
[01:39.42]Kwangu ma
[01:40.71]Mwenzio sitamaani sitamaani
[01:42.65]Ata raha tena mi sioni
[01:45.43]
[01:46.06]Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa
[01:48.32]Mamu
[01:49.03]Vile akinuna mpaka tabasamu
[01:51.22]M'mefanana sanaa
[01:53.07]
[01:54.45]Sanaa
[01:56.73]Mi mwenzako tena mapenzi mi sina
[01:58.89]Hamu aha
[01:59.65]Tena nna mpango wa kuhama dar es
[02:01.49]Salaam
[02:01.83]Nataka niende mbaali
[02:03.88]Niepuke vita na
[02:05.10]Walimwengu
[02:05.65]Mi mwenzenu siwezi
[02:07.07]Tatizo kwetu mbagala
[02:09.74]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[02:12.52]Tatizo kwetu mbagala
[02:15.16]Uk'ona mapenzi
[02:16.44]Siwezi
[02:17.96]Tatizo kwetu mbagala
[02:20.34]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[02:22.66]
[02:23.23]Tatizo kwetu mbagala
[02:25.80]Uk'ona mapenzi
[02:27.44]Siwezi
[02:28.69]Asima mbagala
[02:30.56]Mbagala
[02:32.08]Mbagala
[02:33.22]Ahh mbagala
[02:36.45]Uk'ona mapenzi siwezi
[02:38.99]
[02:39.75]Asima mbagala
[02:40.84]Mbagala
[02:41.50]Mbagala
[02:42.19]Mbagala
[02:42.89]Mbagala mbagala
[02:43.97]Eeeee mbagala
[02:47.24]Uk'ona mapenzi siwezi
[02:49.78]Tatizo kwetu mbagala
[02:51.79]
[02:52.34]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[02:55.20]Tatizo kwetu mbagala
[02:57.75]Uk'ona mapenzi
[02:59.24]Siwezi
[03:00.65]Tatizo kwetu mbagala
[03:03.02]Hapa nyumba mbele jalalaaa
[03:05.36]
[03:05.95]Tatizo kwetu mbagala
[03:07.93]
[03:08.66]Uk'ona mapenzi
[03:09.84]Siwezi
[03:11.31]
[03:13.47]Jalalaaa jalalaaa
[03:15.74]Mbagala mbagala
[03:18.01]
[03:35.72]Yoo hey yoo
[03:37.06]
[03:37.57]Yoo
[03:37.99]I'm back ladies I'm back
[03:39.64]Ladies I'm back
[03:40.81]It's short about a present
[03:42.33]
[03:43.52]Bob junior
[03:44.61]
[03:45.22]Mr chocolate flava
[03:47.43]Yo I'm back diamond I'm back
MBAGALA-Diamond 热门评论
MBAGALA-Diamond 同专辑其他歌曲
- NENDA KAMWAMBIE-Diamond
- NITAREJEA-Diamond/Ha! Why?
- NAKUPA MOYO WANGU-Diamond/Mr. Blue
- NALIA NA MENGI-Diamond/Chidi Beenz
- JISACHI-Diamond
- WIVUWIVU-Diamond/Romy
- I HATE YOU-Diamond/HEMEDY (P.H.D)
- BINADAMU-Diamond
- WAKUNESANESA-Diamond
- SI UKO TAYARI-Diamond
- TOKA MWANZO-Diamond/Romy